Sunday, October 10, 2010

Tarangire

Tukiwa kwenye moja ya vilima vilivyopo pembezoni mwa mto Tarangire, tuliona kundi la tembo likiwa limetulia pamoja.

haikuwa rahisi kwetu kufahamu nini kilichowakusanya pamoja tembo hao ambao walikuwa wapo ktk mto Tarangire.

No comments:

Post a Comment