Wednesday, October 27, 2010

Mama na mwana

Pembezoni mwa Ngurdoto crater, Arusha National Park. hapa ilikuwa ni sehemu ijulikanayo kama Rhino view point. Sehemu ambayo wageni husimama kujionea mandhari ya Ngurdoto crater

No comments:

Post a Comment