Thursday, September 30, 2010

Wa Juu.....

Unaweza kumuona wa juu katika huo mti. waliompa chui jina la wa juu hawakukosea, maranyingi huonekana akiwa juu ya miti mida ya mchana.

Picha imepigwa katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment