Wednesday, September 1, 2010

Muonekano wa Ziwa Manyara toka Manyara Serena Lodge

Picha hii ilipigwa tokea ktk veranda za moja ya vyumba vya Manyara Serena Lodge. Hotel hii ipo nje ya hifadhi lakini pembezoni kabisa mwa kingo za Bonde la ufa. hali hii inatoa mandhari nzuri ya hifadhi ya ziwa manyara na Hifadhi ya taifa ya Manyara. Msitu unaouona pembeni mwa ziwa Manyara ndio hifadhi ya taifa ya Manyara. Picha toka Maktaba ya TembeaTz

No comments:

Post a Comment