Tuesday, August 31, 2010

Uhuru Point 5895M ASL - Mlima Kilimanjaro

Wengi tunatamani kufika hapa lakini uwoga mwingi. Mliofanikiwa kufika hapo tunaomba mtupe siri ya mafanikio...

1 comment:

  1. Hii inasikitisha, ukimya huu unaashiria wazawa wengi hawajaupanda mlima.

    ReplyDelete