Saturday, September 11, 2010

Mikumi Wildlife camp, Mikumi NP

Mikumi wildlife camp ipo karibu kabisa na geti la kuingilia ktk hifadhi ya taifa ya Mikumi eneo ambalo hujulikana kama Kikoboga. Kwa wale wasafiri wanaweza simama hapo na kupata mlo wa mchana na kisha kuendelea na safari yao. hii itakupa nafasi ya kuona wanyama kwani hata hapa wanyama husogea karibu na hotel. Picha hii ilipigwa majuzi na Mdau wa Pongo Safaris.

No comments:

Post a Comment