Wednesday, September 1, 2010

Matembezi ya miguu ndani ya Hifadhi; Ruaha NP

Mgeni akiwa ameambatana na ranger wakati wa safari za matembezi kwa miguu ndani ya Hifadhi ya taifa ya Ruaha. Unapofanya safari hizi ndani ya eneo la hifadhi ni lazima uongozane na ranger mwenye silaha. Yeye ndie atakaekuwa anakupa maelekezo na kuongoza njia. Hapa walikuwa wanapita pembezoni mwa moja ya matawi madogo ya mto Ruaha ndani ya hifadhi ya Ruaha. Ahsante ya picha kwa Tom wa Kima Safaris

No comments:

Post a Comment