Wednesday, September 1, 2010

Kijua cha Asubuhi; Mto Rufiji

Ukifanya boat safari ktk mto Rufiji mida ya Asubuhi unaweza ukakutana na kijua cha Asubuhi. Kina raha yake lakini sometimes kinaweza kukukosesha taswira nzuri ukiwa umekaa angle mbaya. Taswira hii ilipigwa ndani ya boat wakati wa boat safari ndani ya mto Rufiji

1 comment: