Thursday, September 2, 2010

Jetty ya La Gemma, Zanzibar

Jetty inavyoonekana tokea ktk veranda za vyumbani

Kwa karibu zaidi, mbele ya lango kuu


Inavyoonekana tokea baharini. Tswira hii imepigwa tokea ktk jahazi

Ukiwa ktk daraja linalounganisha jetty na nchi kavu unakuwa unapata muonekano mwanana wa pwani ya La Gemma hotel.

No comments:

Post a Comment