Wednesday, September 15, 2010

Hifadhi ya Serengeti inavyoonekana toka Grumeti

Mdau Bonny alipiga picha hii akiwa ndani ya pori tengwa la Grumeti ktk moja ya maeneo ambayo unakuwa unapata kuona mandhari ya hifadhi ya taifa ya Serengeti. Picha - Bonny, Karibu Fair

1 comment:

  1. Picha imeingia maktaba yangu hii tayari!
    Thx Bonny, Thx KK!

    ReplyDelete