Sunday, August 8, 2010

Taswira maridhawa - KINAPA, Kibosho

Ni mtiririko wa baadhi ya taswira nilizozipiga ktk safari ya matembezi ndani ya hifadhi ya KINAPA maeneo ya Kibosho, kuelekea yalipo maporomoko ya maji ya mto Sere. Gogo unaloliona juu hutumika kama daraja kuvukia mto unauona.


Hapa tulikuwa tukishangaa Mbega weupe (white Colobus monkey) ambao walikuwa wakiruka ktk miti mirefu unayoiona kwa mbali.

Sehemu kubwa ya uoto (vegetation) wa maeneo haya ni ule ambao unaendana na maeneo ya milimani. Msitu umefunga vilivyo.

No comments:

Post a Comment