Wednesday, August 11, 2010

Mlima Meru

Picha hizi zilipigwa nje kidogo ya Hifadhi ya Taifa ya Arusha.

Mawingu yalivyokuwa yamekaa juu ya kilele cha Mlima Meru yalinikumbusha topic ya Wind (Upep) ktk somo la Jografia sekondari. Mambo ya Leeward na ile nyingine sijui inaitwaje tena.....

No comments:

Post a Comment