Tarangire ni moja ya hifadhi zilizopo ktk ukanda wa kaskazini ambako Miti ya Mibuyu inapatikana kwa sana. Hautatembea umbali mrefu bila ya kukutana na mbuyu au kuuona kwa umbali usio mwingi.
Upana wa mti huu ndio unaowafanya wanyama wanaofahamika kukwea miti kuugwaya na kimtindo. Ngedere na nyani hupata wakati mgumu kuupanda mbuyu mkubwa.
Masikio wakitoka kunywa maji kwenye bwawa lililopo karibu na moja ya mibuyu iliyopo ndani ya hifadhi ya Tarangire. Ahsante ya picha kwa mdau Thom wa Kimasafaris
No comments:
Post a Comment