Sunday, May 23, 2010

Kingo za Ngorongoro crater

Ukiwa nje ya crater, unaiona crater kama ni sehemu ndogo inayoweza kufananishwa na bakuli ya uji wa mtoto. Ukiingia ndani unajikuta upo ktk mandhari tofauti kabisa na ulivyofikiria awali. Ki Ukweli, Ngorongoro crater (hata bila ya uwepo wa wanyama pori) ni sehemu yenye maajabu ya kipekee...
Kingo za crater ni ndefu na zenye mwinuko mkali. picha hii niliipiga tukiwa njiani kutoka nje ya crater.

Kingo za crater zikionekana kwa karibu zaidi. picha zote ni toka ktk maktaba ya TembeaTz

1 comment:

  1. Wadau naomba kufahamu zaidi au nina maswali mawili. Juu ya mlima Mawenzi nasikia kuna crater, tena ina maji ya baridiii na hakuna kitu cha chuma (kama ndege/air plane) inaweza kukatiza bila kuvutwa ndani. Nasikia zamani ilishavutwaga plane ikatumbukia na mpaka sasa mabaki yake yapo ndani, hivi kuna ukweli?
    Swali lingine ni kwamba, crater ya Mawenzi ina maji, ya Embakaai hali kadhalika, mbona hii ya Ngorongoro haina maji. Naomba kufahamishwa

    ReplyDelete