Kwa wale wadau wanaopenda kufanya scuba diving, Kisiwa cha Unguja kina mazingira mazuri (Asilia) kwa ajili ya shughuli hii. Uwepo wa coral reefs nyingi na zenye kuvutia huwafanya wapenzi wa hii activity kusafiri toka pande nyingi na za dunia ili kuja kujionea wenyewe. Uzuri wa coral reefs huonekana tokea ukiwa angani ukikaribua kutua ktk Uwanja wa Ndege wa Zanzibar (Unguja). Picha juu ni sehemu ya coral reefs ambazo zipo ktk pwani iliyo usawa ambao ndege zinapita zinapoelekea kutua ktk uwanja wa unguja. Ki ukweli zinavutia. Nenda google na kisha uandike "scuba diving in Zanzibar" na utapata links kedekede zitakazo kupa details za Scuba diving ndani ya Visiwa vya marashi ya karafuu. Coral reefs kwa kimatumbi zinaitwaje?
No comments:
Post a Comment