Tuesday, March 23, 2010

Mlima Meru unavyoonekana toka Uhuru Peak - Kilimanjaro

Kwa mbali ni mlima Meru unavyoonekana toka Uhuru point, Mlima Kilimanjaro. Unakuwa unaonekana kama kichuguu vile!

No comments:

Post a Comment