Hata porini nako sometimes kuna kuwa na foleni barabarani na hivyo inabidi mtembee mmoja mmoja. Hifadhi ya Manyara ni hifadhi ya kipekee kwani sehemu kubwa ya hifadhi hii ni msitu ya miti mirefu. sehemu ndogo ya hifadhi ndio ni uwanda wa wazi wa nyasi. hali hii hupelekea mara nyingine wanyama na wageni kutumia barabara moja ktk mizunguko yao. Ukijua namna ya kudeal na hawa jamaa, close encounters kama hizi zinakuwa hazina matata.
picha mdau Tom wa Kima Safaris aliyeingia uchaka (porini) wa Hifadhi ya taifa ya Manyara National Park hivi karibuni .
picha mdau Tom wa Kima Safaris aliyeingia uchaka (porini) wa Hifadhi ya taifa ya Manyara National Park hivi karibuni .
No comments:
Post a Comment