Tuesday, January 26, 2010

Segera - Mombo

Mandhari murua unapoanza kumega kipande toka Segera kuelekea Mombo, Kulia kwao unakuwa unasindikizwa na milima ya Usambara na vile vile ukipita mida ambayo neema ya mvua ipo around the corner, basi mandhari murua hupatikana.

Highway restaurant Korogwe. Siku hizi mabasi mengi yaendayo route ya kaskazini hupenda kuweka kituo cha kupata mlo hapa. Mandhari yake ni tulivu
mitaa ya kati Korogwe


Unapokuwa ktk kipande hiki, Milima ya Usambara kamwe haipo mbali na upeo wa macho yako.

Mombo mjini

No comments:

Post a Comment