Saturday, January 9, 2010

Njia rahisi ya kutambua jinsia ya twiga

'mapembe' ya twiga ndio njia moja rahisi ya kuweza kutambua kama twiga ni dume au jike. 'pembe' za twiga jike huwa kwa kawaida zinakuwa na manyoya juu mwishoni. ukiziangalia haraka utaona ni kama mabutu. picha juu ni twiga jike, angalia 'pembe' zake zilivyokuwa na nywele/manyoya

'pembe' za twiga dume huwa hazina manyoya. picha juu ni twiga dume.

3 comments:

  1. we mkali aisee, unatupa shule bure

    ReplyDelete
  2. Kwani maumbile yao ya viungo vya uzazi hayako wazi kama wanyama wengine? Kwa nini uanze kuangalia pembe wakati mkia unauona? :-)

    ReplyDelete
  3. kiavi, unajua twiga ni mrefu. wakati mwingine utamwona kwa mbali akila majani ya miti mirefu bila kuona mkia wake, kwa kuangalia kichwa utabaini jinsia yake.nadhani kuna logic, isitoshe ni elimu mpya kwetu tusiojua wanyama wa porini.

    ReplyDelete