Saturday, January 9, 2010

Muonekano wa Runway kwa rubani

Runway uionayo kwa mbali ni ya uwanja wa ndege wa Zanzibar.

Chuma kikiwa ktk hatua za mwisho kutua ktk uwanja wa JKNIA (Dar)

barabara ya Nyerere aka Pugu road

Kuna uwezekano wengi wetu tumeshawahi kupanda ndege mara moja au zaidi, lakini ni wachache sana tumepata bahati ya kusogelea au kukaa sambamba na rubani na kuona mambo yanakuaje angani wakati wa safari. Hasa hasa ktk zoezi zima la kuruka na kutua kwa ndege. Taswira za juu zinakuonjesha tu jinsi rubani anavyokuwa anaiona barabara ya kutulia ndege aka runway anapokuwa akijiandaa kutua.

No comments:

Post a Comment