
Ukiwa unakaribia kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro, utapita kituo kidogo kijulikanacho kama Gilman's point

Gilman's point ipo karibu kabisa na Uhuru peak, point ya juu kabisa ktk Mlima Kilimanjaro.

ukiwa chini hali ya barafu mlimani inaonekana kuyoyoma, hali inakuwa tofauti kidogo na unapokuwa Gilman's point au Uhuru peak. Theluji ipo japo sio kama ilivyokuwa miaka mitano iliyopita.

Mawenzi ikioneka kwa mbali kidogo
No comments:
Post a Comment