Picha juu ni kichwa/injini ya treni inayomilikiwa na Shirika la TAZARA.
hii ilikuwa ni treni maalum ya TAZARA iliyokuwa inapeleka watalii ktk mbuga ya Selous kupitia reli ya TAZARA.
hii ilikuwa ni treni maalum ya TAZARA iliyokuwa inapeleka watalii ktk mbuga ya Selous kupitia reli ya TAZARA.
Hii ni sehemu anayokaa dereva. kila upande wa injini hii kuna vyumba kama hivi. vinakuwa viwili. unayoiona sio stearing. hiyo ndio accelerator ya treni.
nyingine ni kwa ajili ya injini pamoja na mabehewa yake yote
No comments:
Post a Comment