Monday, October 9, 2017

Machweo Selous Game Reserve - Throw back ya 2009

Selous Game Reserve Tanzania
Picha hizi nilizipiga mwezi Oktoba mwaka 2009, takribani miaka nane iliyopita. Nilizipiga nikiwa nimesimama pembezoni mwa mto Rufiji, kwenye moja ya campsite iliyopo nje ya pori la akiba la Selous kwenye kijiji cha Mloka. 

Selous Game Reserve TanzaniaSelous Game Reserve Tanzania

Selous Game Reserve Tanzania

Selous Game Reserve Tanzania

No comments:

Post a Comment