Monday, August 4, 2014

Hapo lazima umpishe njia, Mikumi NP wiki iliyopita

Ni Picha zilizopigwa ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi na Mdau wa Blog hii Samson aliyekuwa huko kikazi. Alikumbana na Masikio huyu akiwa kwenye game drive ambapo ilimlazimu kumpa haki yake huyu jamaa. Tembo ni mmoja wa wanyama pori mwenye hasira ambazo si rahisi sana kuzitabiri. hivyo unapogongana nae porini, hata kama upo kwenye gari ni vyema kuchukua tahadhari mapema.






Picha kwa Hisani ya Mdau Samson wa Freedom Trans

No comments:

Post a Comment