Monday, February 11, 2013

Taswira zaidi toka Serengeti National Park - Jumapili

Serengeti National Park Tanzania
Hizi nazo zimepigwa na mdau Rajab Naroro aliyeoko huko hifadhi ya Taifa ya Serengeti siku ya Jana. Kwa mujibu wa mdau Bonny hizi picha zimepigwa maeneo ya Ndutu ambako sasa hivi ndio kunavutia wageni wengi sana kutokana na uwepo wa nyumbu wanaohama ktk maeneo hayo.

Serengeti National Park Tanzania

Serengeti National Park Tanzania

Serengeti National Park Tanzania

Serengeti National Park Tanzania


Serengeti National Park Tanzania

Serengeti National Park Tanzania

Serengeti National Park Tanzania
Shukran sana wadau wote wanaotoa support kwa blog ya Tembea Tanzania. Ki ukweli uwezo wa kuweza kupata picha za kila siku na kila wakati kutoka maeneo mbalimbali yenye vivutio vya utalii ndio lengo tunalotaka tuweze kulifikia siku moja. Itakuwa ni jambo jema endapo wewe unayependa mambo haya kuamka kila siku ukijua mahali kwa kwenda kuona picha za jana yake au siku hiyo hiyo toka Serengeti, Ngorongoro, Ruaha na kwengineko. One day yes tutafikia hatua hii.
Kwa picha hizi Shukran zimfikie mdau Rajab Naroro kwa ushirikiano wake

No comments:

Post a Comment