Thursday, February 14, 2013

Sharubu wa Ndutu - Serengeti

Serengeti National Park Ndutu
Uzoefu wao unawafanya wasicheze mbali na eneo hili kwani wanajua kuna chakula cha ubwete, nacho sio kingine bali ni nyumbu watoto au nyumbu majike wanaujifungua. ni hali yenye kubeba sura ya ukatili lakini hii ndio hali halisi ya nature.

Serengeti National Park Ndutu

Serengeti National Park Ndutu

Serengeti National Park Ndutu

No comments:

Post a Comment