Ni msimu wa majike kuzaa na zoezi hili hufanyika eneo lijulikanalo kama ndutu. na ndio huko migration ilipo sasa hivi.
Mamia kwa maelfu ya Nyumbu wamepiga kambi maeneo mbalimbali kwenye ukanda wa Ndutu. Kama mtu anaenda Serengeti sasa hivi na kutaka kuiona migration, basi Ndutu sio sehemu ya kuacha kwenda.
Picha zote zimepigwa na Mdau Rajab N. aliyekuwa Serengeti hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment