Siku ya leo Mdau Thomas wa HSK Safaris alikuwa na kazi moja tu ya kusafiri kutoka Hoteli ya Lobo alipolala na kushika njia kuelekea Ngorongoro crater. Ni Safari ambayo kwa asilimia mia inakuwa inafanyika ndani ya maeneo ya hifadhi. Kwanza ni Serengeti yenyewe na baadae unaingie eneo la Ngorongoro. Picha hizi ni maeneo kadhaa ya safari yake hii leo.
Njiani alikutana na hawa wababe wakivuka njia. Ukikutana nao hawa mabwana ni sharti uwapishe njia ili na wewe uweze kupita kwa usalama.
nzuri sana...
ReplyDeletesafi sana...
ReplyDelete