Hii ni njia ya kuingilia hoteli ya Mullers Mountain Lodge Lushoto. hapa tulikuwa tunatoka hoteli kwenda kijijini kwa matembezi ya miguu na kujionea mandhari ya huko.



Miti ya matunda ndio kama miti ya Miarobaini au Ashok ilivyo huku mijini. pichani ni nyumba ambayo imezungukwa na miti ya matunda damu sambamba na passion fruit.
No comments:
Post a Comment