
Nilikuja pembezoni mwa ziwa manyara kwa miguu nikitokea Maramboi Luxury Tented lodge nikisizindikizwa na guide wa hoteli. Ni mwendo wa takriban dakika 20 hivi mpaka lilipo ziwa Manyara.

sio milima, ni kingo za bonde la Ufa. Ziwa manyara na Manyara national park zipo ndani ya Bonde la ufa.

Ilitulazimu tugeuze baada ya muda mfupi kwa jua lilizidi kutokomea na kulipisha giza

(picha - Maktaba ya TembeaTz)
great
ReplyDelete