Thursday, October 14, 2010

Walikuwa wameangusha Nyati

Sharubu hawa wa Ruaha walikuwa wameadondosha nyati mkubwa ndani ya hifadhi ya taifa ya Ruaha. Shughuli hii ilikuwa pembezoni mwa mto Ruaha. sehemu ambayo kipindi cha kiangazi maji ya mto Ruaha yanakuwa yanapita.


Wakiendelea kupata msosi baada ya purukushani ya kumwangusha nyati

No comments:

Post a Comment