Ni moja ya madaraja ya mto Ruaha yaliyopo ndani ya hifadhi ya taifa ya Ruaha ambapo wageni wanaruhusiwa kushuka toka kwenye magari.
Mto wenyewe wa Ruaha unavyoonekana tokea darajani
Magari yakiwa yanawasubiri wageni ambao wananyoosha miguu kwenye daraja ndani ya hifadhi ya taifa ya Ruaha
No comments:
Post a Comment