
Hivi karibuni kikosi cha Tembea Tanzania kilipata fursa ya kuitembelea gereji moja ambayo inashughulika na mchakato huu wa kufanyia modification magari haya. Moja ya mambo ambayo yalitustaajabisha ni kwamba sehemu ya nyuma ya magari ambayo hubadilishwa na kuwa warbus huwa yanakuwa hayana kazi tena kama yanavyoonekana ktk taswira hapo juu. Hizo ni bodi za Land Cruiser (mkonga) zimetolewa ktk gari ili kupisha bodi mpya yenye nafasi ya kubeba abiria zaidi kujengwa juu ya chasis na kuunganishwa na sehemu yambele ya gari iliyobakia. Sehemu ambayo bodi unazoziona hapo juu zimetoka huenda kujengewa bodi ambazo husukwa upyaaa...
No comments:
Post a Comment