Friday, July 2, 2010

"Tiger" weupe wapo sabasaba


Ni katika banda la wizara ya Maliasili na Utalii ile sehemu inayokuwa na wanyama hai wa porini. Tembelea banda hilo mwaka huu ujionee wanyama hawa ambao wengi wetu tumewaona kwenye luninga na taswira.

1 comment:

  1. nina mashaka kama Tiger wanapatikana Tanzania. Kama kuna mwenye kujua naomba msaada otherwise naona hakuna maana kuwaweka ktk hilo banda huko sabasaba.
    Nikipata nauli nitaenda 77 nikawaulize wahusika ili nipate kusikia toka kwao

    ReplyDelete