Tuesday, July 20, 2010

Taswira maridhawa

Jua likielekea kunako kuzama na kupisha mbala mwezi na nyota kuchukua nafasi yake.

Maji unayoyaona kwa mbali chini ya hiyo 'milima' ni maji ya Ziwa Manyara.
Picha zote zimepigwa pembezoni mwa bwawa la kuogelea la Maramboi tented camp

No comments:

Post a Comment