Thursday, July 22, 2010

ni kwa usalama wako

Bango lililopo ktk geti la Umbwe likisisitiza matumizi ya mahema kwa ajili ya kulala wakati w a kupanda mlima Kilimanjaro. Lengo kuu la hilo bango ni kukuepusha na madhara kama vili mapango kuporomoka (cave-ins au wadudu).

No comments:

Post a Comment