Friday, July 30, 2010

Endoro Lodge - Karatu

Ni Lodge nzuri na ya kisasa ambayo ipo maeneo ya Karatu.

Eneo la Karatu lipo njiani kuelekea Ngorongoro na Serengeti ktk ukanda wa kaskazini wa utalii hapa Tanzania. Wageni hufikia ktk lodge na camps zilizopo eneo hili wakiwa wanaelekea Ngorongoro crater au Serenegeti au wakati wakiwa njiani kurudi nyumbani baada ya safari za porini na maeneo mengine ya kitalii.

ni Sehemu murua hata kwa wewe ambae unatafuta mahali penye utulivu ili kupumzisha akili na mwili.


Pata dondoo zaidi kwa kutembelea tovuti ya Endoro Lodge kupitia www.endorolodge.com

No comments:

Post a Comment