Tuesday, June 29, 2010

Taswira maridhawa

Pembezoni mwa Ziwa manyara. Nikiwa na guide tukiwa njiani kurudi campsite baada ya game walk. Niligeuka nyuma kuliangalia ziwa manyara na kunasa taswira hii.

3 comments:

  1. Hii taswira nimeifanya background ya desktop yangu.

    ReplyDelete
  2. Na mimi nimeingana na Da Subi, hii picha ni kali na tayari ni background photo ktk desktop yangu ya ofisini.

    ReplyDelete