Saturday, June 12, 2010

Hifadhi ya taifa ya ziwa Manyara

Viboko wakitoka nje ya bwawa lao lililopo hifadhi ya taifa ya ziwa Manyara pembezoni kabisa mwa ziwa Manyara lenyewe. Kutokana na maji ya ziwa Manyara kuwa ni alkaline, viboko wao wanaishi ktk bwawa hilo ambalo maji yake sio alkaline.

No comments:

Post a Comment