Friday, April 2, 2010

Burj Khalifa ya Morogoro

Jengo refu jeupe linaelezwa ya kuwa ndio jengo refu kuliko yote (kwa hivi sasa) hapa Mji kasoro bahari. kwa lugha nyingine ndio Burj Khalifa ya Morogoro. hii ni kweli??? Lipo eneo jirana na Msamvu

2 comments:

  1. Shekhe, nimeipenda sana Burj Khalifa yetu,"HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA" Naamini hata kama niya Kichina basi ni sawa na ya Goungdong. Nyumbani.

    ReplyDelete
  2. nadhani kuna majengo mengine zaidi ya hili kwa sasa. Kama yapo tuwekee taarifa mpya. Cheki nyuma ya Mount Urugulu hotel.

    ReplyDelete