Ni Luxury Tented campsite ambayo imefunguliwa rasmi hivi karibuni (juni 2016) ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti. ni moja ya hoteli zilizo chini ya kampuni ya Tanganyika Wildernes Camps
Mandhari mwanana unayoipata toka kwenye moja ya verandah ambazo unakuwa unaiona uwanda wa Serengeti ulivyotambaa.
Mandhari mwanana unayoipata toka kwenye moja ya verandah ambazo unakuwa unaiona uwanda wa Serengeti ulivyotambaa.
Unaweza kuiona Serengeti Migration tokea kwenye tent lako
Serengeti migration hufika karibu na hoteli hii.
picha zote kwa hisani ya Tanganyika Wildernes Camps
Kujua zaidi kuhusu Kubu Kubu Tented Camp Serengeti bofya hapa
No comments:
Post a Comment