Tuesday, April 5, 2016

Bonde la Mto Rufiji, Ikwiriri

Hapa ni eneo karibu kabisa na daraja la Mkapa. Mto Rufiji umejaa maji vya kutosha mpaka kupelekea maeneo ya pembezoni ambayo huwa ni mashamna nayo kujaa maji kama yanavyoonekana. Ngumu kupata taswira ya hali ilivyo ndani ya pori la akiba la Selous msimu huu wa mvua kwakuwa Mto Rufiji ni sehemu muhimu ya pori hilo.


1 comment:

  1. Sehemu ya Rufiji ni wilaya yenye utajiri wa ardhi ya rutuba kwa kilimo na vivutio vizuri vya utalii

    ReplyDelete