Thursday, March 24, 2016

Ngorongoro crater

Huwa inaleta faraja pale unapoweza kukutana na Masikio mkubwa mwenye pembe zake kubwa kama huyo anayeonekana kwenye picha juu. Takwimu za ujangili zinatishiauwepo wao. Picha kama hizi zinaleta imani kuwa jitihada za uhifadhi zinazaa matunda. Mdau mwandamizi wa Blog yetu alikutana nae ndani ya Ngorongoro Crater hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment