Thursday, March 24, 2016

Ngorongoro Crater hivi karibuni

Mmoja wa wadau waandamizi wa Blog hii alikuwa Ngorongoro Crater hivi karibuni na kushare nase picha hizi. alibahatika kuonana na Pembe kwa karibu kabisa. 


Ngorongoro Crater ni moja ya hifadhi hapa Tanzania ambapo mgeni anaweza pata fursa ya kumuona Faru. Kutokana na hali ya kuwa kama bakuli, Nafasi za kuona Faru kwa Ngorongoro crater ni kubwa kidogo ukilinganisha na hifadhi nyinginezo.

No comments:

Post a Comment