Sunday, March 27, 2016

Ferry ya Mtwara

Eneo linaloonekana kwa mbali ndio "kisiwa" cha Msanga mkuu. Picha hizi nimezipiga nikiwa upande wa Soko la Samaki.

Eneo hili ni eneo ambalo ni soko kubwa la samaki kwa wakazi wa Mtwara mjini. Ukitaka kujipatia samaki fresh hapa ndio mahali pa kufika.

Kulia ni jengo la soko la Samaki

kwa mbali kushoto (kunako waka taa) ndio ilipo Bandari ya Mtwara.

No comments:

Post a Comment