Thursday, October 29, 2015

Tanzania yapata rais mpya

Ni Dk. John Joseph Pombe Magufuli kupitia Chama Cha Mapinduzi - CCM. Ametangazwa rasmi leo na Mwenyekiti wa Tume Taifa ya Uchaguzi kama Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Anatarajiwa kuapishwa siku chache zijazo. 

No comments:

Post a Comment