Sunday, June 7, 2015

Gate la Mtemere, Mloka - Selous Game Reserve

Mtemere Gate Selous Road2Africa Safaris
Ni moja ya mageti ya kuingilia kwenye pori la Akiba la Selous lilipo kwenye kijiji cha Mloka, wilayani Rufiji mkoa wa Pwani. kwa watumiaji wa njia ya Kibiti au Ikwiriri huingilia Selous kupitia geti hiliMtemere Gate Selous Road2Africa Safaris
Shukran ya Picha kwa Mdau Arnold Ulomi wa Road 2 Africa aliyekuwa huku hivi karibuni

No comments:

Post a Comment