Tuesday, October 14, 2014

Mandhari ya Mlima Kilimanjaro tokea shule ya Umbwe Sekondari

 ni picha kadhaa zilizotumiwa na Mdau wa Blog hii, Mike Massawe ambazo zinaonyesha kilele cha Mlima Kilimanjaro. Ni picha ambazo zimepigwa ndani ya eneo la Shule ya Sekondari ya Umbwe mkoani Kilimanjaro. majengo yanayoonekana kwa kati ni baadhi ya majengo ya shule hiyo. Natumai mliopita shule hii mnaweza kuyakumbuka vyema majengo haya.




 Mdau wa Blog ya Tembea Tz, Mike Massawe akiwa amesimama mbele ya majengo ya shule ya Sekondari ya Umbwe. Shule ambayo alisoma hapo miaka ya 90.

Picha ya Mlima Kilimanjaro ndani ya Mkoa wa Kilimanjaro hainogi bila ya uwepo wa Mgomba.

Shukran sana Mdau Mike Massawe kwa picha hizi na dondoo kadhaa.

3 comments:

  1. Hakika inapendeza kutembelea mlima kilimanjaro, naomba kufahamu inachukua siku ngapi hadi kukamilisha kupanda na kushuka?

    ReplyDelete
  2. I don't think this is Umbwe secondary, nafikiri ni Mlama Secondary since they are neighbours. Majengo ya Umbwe nayafahamu na sidhani kuwa ni haya.

    ReplyDelete