Wednesday, September 3, 2014

Picha zaidi za Ruaha NP

Ni muendelezo wa Taswira zinazoonyesha hali ilivyp huko kwenye hifadhi ya Taifa ya Ruaha mkoani Iringa. Ni picha ambazo zilitufikia mwishoni mwa wiki hii kupitia kwa Mdau Samson aliyekuwepo huko kikazi.
Palipo na mito au Mabwawa hawa hawakosekani

No comments:

Post a Comment