Friday, August 8, 2014

Sio hoteli zote za pwani zina ufukwe....

Nungwi, Zanzibara
Ni Baadhi ya hoteli zilizopo pwani ya Nungwi. Kutokana na baadhi ya maeneo haya kuwa na miamba, sio hoteli zote zimebahatika kuwa na ufukwe mwanana na mchanga wa pwani. Zipo ambazo zimekosa kabisa na zipo ambazo zililazimika kuingia gharama zaidi kutengeneza fukwe kinamna kwa ajili ya wageni wao. Nungwi, Zanzibara
Ngazi zinazoonekana kwa mbali zimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kushusha wageni watakaopenda kuogelea kwenye Bahari ya Hindi.

No comments:

Post a Comment